Poick

This is a cached version of https://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo from 2/28/2026, 3:25:52 PM.

Wikipedia

Nenda kwa yaliyomo Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Karibu kwenye Wikipedia, kamusi elezo huru, kila mtu anaweza kuihariri! Hadi leo tuna makala takriban 107,672 kwa KiswahiliJe unapenda kuona Wikipedia yetu kama kitabu? Bofya hapa! Biografia Dini Hisabati Historia Jiografia Jamii Jumuiya Lugha Sanaa Sayansi Teknolojia Tiba Ujenzi Kamusi Elezo ya Kiswahili Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili! Wikipedia ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru. Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na kufungua akaunti. Angalia Wikipedia:Mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia. Je, wajua... Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia: ... kwamba Hifadhi ya Ngorongoro imepokewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO? ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa? ... kwamba eneo la Afrika ya Mashariki ndilo ambalo lina uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika bara la Afrika! ... kwamba Samia Hassan Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke Afrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Pombe Magufuli. Hifadhi – Jifunze kuanzisha makala – Teua makala Makala ya wiki Samia Suluhu Hassan (alizaliwa 27 Januari 1960) ni Rais wa 6 wa Tanzania na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi. Kabla ya kuwa rais kutokana na kifo cha John Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020. Sasa amekuwa rais wa kwanza mwanamke na rais wa Pili kutoka Zanzibar Wa kwanza Akiwa ni Ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya Pili. Suluhu alizaliwa katika Usultani wa Zanzibar. Alisoma shule za msingi za Chwaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) katika miaka ya 1966 hadi 1972. Aliendelea na masomo ya sekondari shule za Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976)[3]. Baada ya kumaliza masomo yake ya sekondari mnamo 1977, aliajiriwa na Wizara ya Mipango na Maendeleo kama karani. Alifuata kozi fupi kadhaa. Mnamo 1986, alihitimu kutoka Taasisi ya Usimamizi wa Maendeleo (Chuo Kikuu cha Mzumbe cha leo) na diploma ya hali ya juu katika utawala wa umma. Baada ya kuhitimu, aliajiriwa kwenye mradi uliofadhiliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme). Kati ya miaka 1992 na 1994, alisoma kwenye Chuo Kikuu cha Manchester, Uingereza na kuhitimu stashahada ya uzamili katika uchumi. Mnamo mwaka 2015, alipata MSc yake katika Maendeleo ya Uchumi wa Jamii kupitia mpango wa pamoja kati ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Chuo Kikuu cha Kusini mwa New Hampshire. ►Soma zaidi Picha nzuri ya wiki Ziara ya Mwalimu Nyerere wa Tanzania mnamo Machi 12, 1985; Rais Nyerere akisikiliza maswali. Julius Nyerere (Butiama, 13 Aprili 1922 - London, 14 Oktoba 1999) alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa. Aliongoza Tanganyika tangu uhuru mwaka 1961 kama Waziri Mkuu, kisha baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, aliongoza Tanzania kama Rais hadi 1985. Aliunda sera ya Ujamaa na Kujitegemea ambayo iliweka msisitizo kwenye usawa wa kijamii, elimu kwa wote na umoja wa kitaifa. Baada ya kustaafu urais, aliendelea kuishi kwa kuendeleza shughuli za kijamii na kilimo, na alifariki dunia kutokana na saratani ya damu tarehe 14 Oktoba 1999 akiwa London, na kuzikwa Butiama. Je ungependa kusoma zaidi kuhusu Mtu huyu? au ungependa kuchangia zaidi kuhusu mtu huyu? fungua Hapa Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili Idadi ya makala: 107,672 Idadi ya kurasa zote: 213,887 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.) Idadi ya hariri: 1,491,102 Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 86,606 Idadi ya wakabidhi: 14 Idadi ya watumiaji hai: 329 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita) Bofya hapa kwa kupata namba za sasa Takwimu ya WIkipedia ya Kiswahili kwa jumla Katika mwezi wa Agosti 2025 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 7.79 hivi, ambayo ni sawa na mara 251,607 kwa siku au mara 10,483 kila saa ambalo ni ongezeko la mara 4.5 ukilinganisha na mwaka 2024 mwezi wa Agosti. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya. Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali hapa kwenye takwimu za makala (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa) na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani. (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku) Michango ya wanawiki: angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia (andika jina la mtumiaji kwenye sanduku) Jumuia za Wikimedia Kamusi elezo ya Wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini ya Shirika Lisilo la Kiserikali la Wikimedia Foundation, ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini. Mpaka sasa miradi inayopatikana Kiswahili ni Wikipedia na Wikamusi. Wikitabu imewekwa Kiswahili lakini bado ni tupu. Mengine inapatikana Kiingereza pamoja na lugha tofauti. CommonsGhala ya Nyaraka za Picha na Sauti Meta-WikiUratibu wa Miradi yote ya Wikimedia WikamusiKamusi na Tesauri WikitabuVitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia WikidondooMkusanyiko wa Nukuu Huria Wikichanzo (Wikisource)Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili WikispishiKamusi ya Spishi WikichuoJumuia ya elimu WikihabariHabari Huru na Bure Wikipedia kwa lugha nyingine Wikipedia kwa lugha nyingine Wikipedia ipo katika lugha zaidi ya 340. Bofya hapa kuona orodha kamili ya lugha zote za Wikipedia. Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 1,000,000: Kiarabu cha Misri - Deutsch (Kijerumani) - English (Kiingereza) - Español (Kihispania) - Français (Kifaransa) - Italiano (Kiitalia) - 日本語 (Kijapani) - Nederlands (Kiholanzi) - Polski (Kipolishi) - Português (Kireno) - Русский (Kirusi) - Svenska (Kiswidi) - Українська (Kiukraina) - Tiếng Việt (Kivietinamu) - 中文 (Kichina) Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 500,000: Català (Kikatalunya) - Česky (Kicheki) - Bahasa Indonesia (Kiindonesia) - Suomi (Kifini) - Magyar (Kihungaria) - Norsk bokmål (Kinorway) - Română (Kiromania) - Türkçe (Kituruki) - Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 250,000: Dansk (Kidenmark) - Esperanto (Kiesperanto) - Slovenčina (Kislovakia) - Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 100,000: Afrikaans (Kiafrikana) · Malagasy (Kimalagasi) - Swahili (Kiswahili) - Baadhi ya lugha nyingine za Afrika: አማርኛ · Bamanankan · Chi-Chewa · chiShona · chiTumbuka · Ɛʋɛ · Fulfude · Gĩkũyũ · Hausa · Ìgbo · isiXhosa · isiZulu · Taqbaylit · Kikongo · Kinyarwanda · Kirundi · Lingala · Luganda · Oromoo · Oshiwambo · Sängö · seSotho · Setswana · SiSwati · Soomaaliga · ትግርኛ · Tshivenda · Twi · Wolof · Xitsonga · Yorùbá · Jinsi ya kuanzisha Wikipedia kwa lugha mpya Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwanzo&oldid=1456367" Jamii: Makala ya wiki Lugha 345 АԥсшәаAcèhАдыгабзэAfrikaansAlemannischАлтай тилአማርኛPangcahAragonésÆngliscOboloअंगिकाالعربيةܐܪܡܝܐالدارجةمصرىঅসমীয়াAsturianuAtikamekwАварKotavaअवधीAymar aruAzərbaycancaتۆرکجهБашҡортсаBasa BaliBoarischŽemaitėškaBatak TobaBikol CentralBajau SamaБеларуская (тарашкевіца)БеларускаяBetawiБългарскиभोजपुरीBislamaBanjarပအိုဝ်ႏဘာႏသာႏBamanankanবাংলাབོད་ཡིགবিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরীBrezhonegBosanskiBatak MandailingBasa UgiБуряадCatalàChavacano de Zamboanga閩東語 / Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄НохчийнCebuanoChamoruᏣᎳᎩTsetsêhestâheseکوردیCorsuNēhiyawēwin / ᓀᐦᐃᔭᐍᐏᐣQırımtatarcaČeštinaKaszëbscziСловѣньскъ / ⰔⰎⰑⰂⰡⰐⰠⰔⰍⰟЧӑвашлаCymraegDanskDagbanliDeutschDagaareThuɔŋjäŋZazakiDolnoserbskiKadazandusunडोटेलीދިވެހިބަސްཇོང་ཁEʋegbeΕλληνικάEmiliàn e rumagnòlEnglishEsperantoEspañolEestiEuskaraEstremeñuفارسیMfantseFulfuldeSuomiVõroNa Vosa VakavitiFøroysktFɔ̀ngbèFrançaisArpetanNordfriiskFurlanFryskGaeilgeGagauz贛語Kriyòl gwiyannenGàidhligGalegoگیلکیAvañe'ẽगोंयची कोंकणी / Gõychi KonknniBahasa Hulontalo𐌲𐌿𐍄𐌹𐍃𐌺Ghanaian PidginગુજરાતીWayuunaikiFarefareGungbeGaelgHausa客家語 / Hak-kâ-ngîHawaiʻiעבריתहिन्दीFiji HindiHrvatskiHornjoserbsceKreyòl ayisyenMagyarՀայերենԱրեւմտահայերէնInterlinguaJaku IbanBahasa IndonesiaInterlingueIgboIgalaIñupiatunIlokanoГӀалгӀайIdoÍslenskaItalianoᐃᓄᒃᑎᑐᑦ / inuktitut日本語PatoisLa .lojban.JawaქართულიQaraqalpaqshaTaqbaylitJjuАдыгэбзэKabɩyɛTyapKongoKumoringGĩkũyũҚазақшаKalaallisutភាសាខ្មែរಕನ್ನಡYerwa Kanuri한국어Перем комиКъарачай-малкъарکٲشُرRipoarischKurdîKʋsaalКомиKernowekКыргызчаLatinaLadinoLëtzebuergeschЛаккуЛезгиLingua Franca NovaLugandaLimburgsLigureLadinLombardLingálaລາວLietuviųLatgaļuLatviešuMadhurâमैथिलीBasa BanyumasanМокшеньMalagasyОлык марийMāoriMinangkabauМакедонскиമലയാളംМонголꯃꯤꯇꯩ ꯂꯣꯟဘာသာမန်MooreमराठीКырык марыBahasa MelayuMaltiMirandésမြန်မာဘာသာЭрзяньمازِرونیNāhuatlNapulitanoNedersaksiesPlattdüütschनेपालीनेपाल भाषाLi NihaNederlandsNorsk nynorskNorsk bokmålNovialߒߞߏIsiNdebele seSewulaNouormandSesotho sa LeboaNupeDiné bizaadChi-ChewaOccitanLivvinkarjalaOromooଓଡ଼ିଆИронਪੰਜਾਬੀPangasinanKapampanganPapiamentuPicardNaijáDeitschPälzischपालिPolskiPiemontèisپنجابیΠοντιακάNawatپښتوPortuguêsPinayuananRuna Simiရခိုင်RumantschRomani čhibIkirundiRomânăArmãneashtiTarandíneРускиРусскийРусиньскыйIkinyarwandaसंस्कृतम्Саха тылаᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤSarduSicilianuScotsسنڌيDavvisámegiellaSängöSrpskohrvatski / српскохрватскиTaclḥitတႆးසිංහලSimple EnglishSlovenčinaسرائیکیSlovenščinaGagana SamoaAnarâškielâChiShonaSoomaaligaShqipСрпски / srpskiSranantongoSiSwatiSesothoSeelterskSundaSvenskaꠍꠤꠟꠐꠤŚlůnskiSakizayaதமிழ்Tayalತುಳುᥖᥭᥰ ᥖᥬᥲ ᥑᥨᥒᥰతెలుగుTetunТоҷикӣไทยትግርኛትግሬTürkmençeTagalogTolışiSetswanaLea faka-TongaToki ponaTok PisinTürkçeSeediqXitsongaТатарча / tatarçaChiTumbukaTwiReo tahitiТыва дылУдмуртئۇيغۇرچە / UyghurcheУкраїнськаاردوOʻzbekcha / ўзбекчаTshivendaVènetoVepsän kel’Tiếng ViệtWest-VlamsVolapükWalonWinarayWolof吴语ХальмгIsiXhosaმარგალურიייִדישYorùbáVahcuenghZeêuwsⵜⴰⵎⴰⵣⵉⵖⵜ ⵜⴰⵏⴰⵡⴰⵢⵜ文言閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文IsiZulu Hariri viungo Tafuta Mwanzo Lugha 345 Weka mada